1999
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1995 |
1996 |
1997 |
1998 |
1999
| 2000
| 2001
| 2002
| 2003
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1999 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
- 31 Desemba - Eneo la mfereji wa Panama limerudishwa kwa serikali ya Panama kutoka kwa utawala wa Marekani
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
WaliofarikiEdit
- 15 Februari - Henry Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1990
- 21 Februari - Gertrude Elion, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 25 Februari - Glenn Seaborg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 3 Machi - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1971
- 7 Machi - Stanley Kubrick, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Aprili - Arthur Schawlow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981
- 22 Mei - Abdallah Rashid Sembe, mwanasiasa wa Tanzania
- 26 Julai – Jackson Bate, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1964
- 14 Oktoba - Mwalimu Julius Nyerere, Rais wa Tanganyika (1962-1964]], rais wa kwanza (1964-1985) na "Baba wa Taifa" wa Tanzania
- 16 Novemba - Daniel Nathans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- 17 Desemba – Comer Vann Woodward, mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1982
- 27 Desemba - Horst Matthai Quelle, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: