Abdulkarim Esmail Hassan Shah

Abdulkarim Esmail Hassan Shah (amezaliwa tar. 25 Mei 1961) ni mbunge wa jimbo la Mafia katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Abdulkarim Esmail Hassan Shah". 21 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.