Abdullah Bashir Sheikh

Abdalla Bashir Sheikh ni mwanasiasa nchini Kenya na mwanachama wa Chama cha Jubilee (JP). Mwaka 2017 alichaguliwa kama mbunge wa Bunge la Taifa la Kenya kwa kushinda eneo-bunge la Mandera Kaskazini kwenye kaunti ya Mandera.[1]

Marejeo hariri

  1. http://www.parliament.go.ke/the-national-assembly/mps [Wabunge wa Taifa Kenya, tovuti la Bunge la Kenya, iliangaliwa Machi 4, 2022]
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdullah Bashir Sheikh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.