Abeti Masikini (albamu)
Abeti Masikini ni jina la kutaja santuri ya albamu ya mwimbaji mashuhuri kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama Abeti Masikini iliyotoka 1975 huko nchini Ufaransa. Albamu imechukua jina la msanii mwenyewe. Albamu ina wimbo maarufu kwa Afrika Mashariki ni "Likayabo."
Abeti Masikini | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Abeti Masikini | |||||
Imetolewa | 1975 | ||||
Aina | Rumba, Jazz | ||||
Lebo | Pathé | ||||
Mtayarishaji | Gérard Akueson | ||||
Wendo wa albamu za Abeti Masikini | |||||
|
Tangu kutoka kwake ilisambazwa na Pathé ya Ufaransa.
Orodha ya nyimbo
haririHii ni orodha ya nyimbo zilizopo katika albamu hii.
- A1 Likayabo
- A2 — Ngele Ngele
- A3 — Ngoyaye Bella Bellow
- A4 — Kiliki Bamba
- B1 — Yamba Yamba
- B2 — Naliku Penda
- B3 — Sungula
- B4 — Acha Maivuno
Kikosi kazi
hariri- Sauti za uimbaji - Abeti Masikini
- Muziki – Abeti Masikini
- Mtayarishaji – Gérard Akueson
Viungo vya Nje
hariri- Abeti Masikini (albamu) katika wavuti ya Discogs