Abubakari Lunna
Mwanamuziki wa Ghana
Dolsi-naa Alhaji Abubakari Lunna (alifariki mwaka 2009) alikua mwalimu wa muziki, mtengeneza ngoma, na mwimbaji wa muziki wa Dagbon na mnenguaji mwenye asili ya Ghana. Alimshauri mtaalamu wa ethnomusicologist na Profesa wa Muziki David Locke, na mpiga mdundo wa Marekani Jerry Leake. Alifundisha chuo cha Muziki cha Berklee na Chuo kikuu cha Tufts. Alikuwa mpiga ngoma mkuu wa Dagomba Kampuni ya Kitaifa ya Folkloric ya Ghana kutoka mwaka 1960 hadi 1980. Lunna alifariki huko Tamale, Ghana, mwaka 2009. Shule ya muziki ya Granoff kwa kushirikiana na chuo kikuu cha Tufts waliandaa "Africa Fest 2009" kusherehekea kumbukumbu yake.[1][2][3][4]
Abubakari Lunna | |
Amekufa | 2009 Tamale, Ghana |
---|---|
Nchi | Ghana |
Majina mengine | Dolsi-naa Alhaji Abubakari Lunna |
Kazi yake | Msanii |
Marejeo
hariri- ↑ https://www.rhombuspublishing.com/photos.html
- ↑ https://web.archive.org/web/20140320215413/http://as.tufts.edu/music/musiccenter/events/events2009Africafest.htm
- ↑ https://web.archive.org/web/20140326180713/http://www.ghananation.com/profile/music/Dolsi-Naa-Abubakari-Lunna.asp
- ↑ "Abubakari Lunna, Biography". www.ghanaweb.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-26. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abubakari Lunna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |