Ada Ehi

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania

Ada Ogochukwu Ehi (anajulikana kwa jina lake la kisanii Ada Ehi: alizaliwa 18 Septemba 1987) ni mwimbaji wa nyimbo za Injili, mtunzi wa nyimbo, msanii wa kurekodi na kuigiza wa Nigeria. [1] Alianza kazi yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 10 kama mwimbaji mbadala wa nyota mtoto Tosin Jegede. Tangu aanze taaluma yake ya muziki chini ya Loveworld Records mnamo 2009, amezidi kupata umaarufu wa ndani na kimataifa kupitia nyimbo na video zake za muziki. [2] [3]

Ada Ogochukwu

Amezaliwa 18 Septemba 1987
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Msanii

Wasifu

hariri

Maisha ya mapema na ya binafsi

hariri

Alizaliwa na Victor na Mabel Ndukauba, Ehi na kaka zake watatu walipenda kusikiliza muziki wa injili. Yeye ni mzaliwa wa Jimbo la Imo nchini Nigeria . [4] Akiwa na umri wa miaka 10, alichaguliwa kuwa mwanachama wa bendi ya Wasichana ya mtoto nyota wa Nigeria Tosin Jegede .

Yeye ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Lagos, (B.Sc Chemical & Polymer Engineering). Alipokua kua chuo kikuu, alishiriki kikamilifu kwenye Ushirika wa Campus ya Believers Loveworld. [5] Muda mfupi baadaye, alijiunga na Kwaya ya Christ Embassy na tangu wakati huo amekuwa akishiriki kwaya kanisa.

Ehi alijiunga na Loveworld Records mwaka wa 2009. [6]

Alikutana na mumewe, Moses Ehi, kwenye kanisa la Christ Embassy wakati wa moja ya vipindi vyake vya mazoezi akiwa bado chuo kikuu. Walifunga ndoa mnamo 2008 na wanandoa hao wana watoto wawili. [7] [8] [9]

Albamu za studio

hariri
    • Undenied (2009)
    • Lifted (2013)
    • So Fly (2013)
    • Future Now (2017)
    • Ada's EP Vol 1 (2019)
    • Born Of God (2020)[10][11]
    • Everything (2021)

Marejeo

hariri
  1. "Ada Ehi biography". UzomediaTV- YouTube. Agosti 1, 2017. Iliwekwa mnamo Julai 10, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Jayne Augoye (Julai 8, 2017). "Gospel music singer, Ada Ehi, raises the bar with 'Overcame' video". Premiumtimes Nigeria. Iliwekwa mnamo Julai 10, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Daniel Anazia (Julai 8, 2017). "Ada reaches new height with Overcame". Guardian NG. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-08. Iliwekwa mnamo Julai 10, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Ada Ehi Biography, Husband, Children, Age, Church & Music Career". Januari 14, 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-20. Iliwekwa mnamo 2022-02-20.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Chinyere Abiaziem (Julai 17, 2017). "'You Do Not Have To Be Naked to Look Good' – Ada". Independent NG. Iliwekwa mnamo Julai 17, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. https://www.busytape.com/ada-ehi-biography/
  7. "Official Profile and Biography of Nigeria Gospel Musician Ada Ogochukwu Ehi". Oktoba 13, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Ada Ehi Biography, Husband, Children, Age, Church & Music Career". Januari 14, 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-20. Iliwekwa mnamo 2022-02-20.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. https://www.busytape.com/ada-ehi-biography/
  10. "Ada Ehi – Born Of God Album". NaijaMusic (kwa American English). 2020-12-18. Iliwekwa mnamo 2021-01-06.
  11. "On 'Born of God,' Ada Ehi is resilient and grateful [Pulse Album Review]". Pulse Nigeria (kwa American English). 2021-01-01. Iliwekwa mnamo 2021-01-06.