1987
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1983 |
1984 |
1985 |
1986 |
1987
| 1988
| 1989
| 1990
| 1991
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1987 BK (Baada ya Kristo).
Matukio Edit
Waliozaliwa Edit
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 11 Januari - Jamie Vardy, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
- 26 Januari - Sebastian Giovinco, mchezaji mpira kutoka Italia
- 18 Februari - Skin Diamond
- 18 Machi - Selemani Ndikumana, mchezaji mpira wa Kibelgiji kutoka Burundi
- 4 Aprili - Macdonald Mariga, mchezaji mpira kutoka Kenya
- 9 Aprili - Blaise Matuidi, mchezaji mpira wa Ufaransa
- 10 Aprili - Thabani Kamusoko. mchezaji wa mpira kutoka Zimbabwe
- 1 Mei - Saidi Ntibazonkiza, mchezaji mpira kutoka Burundi
- 27 Mei - Gervais Yao Kouassi, mchezaji mpira wa Cote d'Ivoire
- 18 Juni - Semra Kebede, mwigizaji wa filamu kutoka Ethiopia
- 24 Juni - Lionel Messi, mchezaji wa mpira kutoka Argentina
- 26 Juni - Samir Nasri, mchezaji mpira kutoka Ufaransa
- 28 Julai - Pedro Rodríguez Ledesma, mchezaji wa mpira kutoka Hispania
- 6 Septemba - Marie Fuema, mwanamitindo kutoka Senegal
- 16 Septemba - Smosh, yaani Anthony Padilla, mchekeshaji wa mtandaoni kutoka Marekani
- 17 Oktoba - Bea Alonzo, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino
- 17 Novemba - Kat DeLuna, mwanamuziki kutoka Marekani
- 30 Novemba - Smosh, yaani Ian Andrew Hecox, mchekeshaji wa mtandaoni kutoka Marekani
Waliofariki Edit
- 22 Februari - Andy Warhol, msanii kutoka Marekani
- 27 Mei - John Howard Northrop, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946
- 9 Juni - Elijah Masinde, mwanzilishi wa Dini ya Musambwa
- 24 Juni - Jackie Gleason, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Agosti - Georg Wittig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 11 Septemba - Peter Tosh, mwanamuziki wa Rege)
- 21 Septemba - Jaco Pastorius, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2 Oktoba - Peter Medawar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 9 Oktoba - William Murphy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934
- 13 Oktoba - Walter Brattain, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956
- 15 Oktoba - Thomas Sankara, Rais wa Burkina Faso (1983-1987), aliuawa
- 2 Desemba - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970
- 17 Desemba - Marguerite Yourcenar, mwandishi na mshairi kutoka Ubelgiji