Adalar ni sehemu ya jiji la Istanbul kwenye kanda ya Marmara huko nchini Uturuki.

Ni sehemu ya visiwa ndani ya Bahari ya Marmara na jina la Kituruki linamaanisha pia "visiwa".

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adalar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.