Adam Kighoma Malima

Adam Kighoma Malima (amezaliwa tar. 26 Juni 1966) ni mbunge wa jimbo la Mkuranga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Adam Kighoma Malima (21 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnjeEdit