Adam Guy Riess (amezaliwa 16 Desemba, 1969) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza uenezi wa ulimwengu kupitia kwa nyota. Mwaka wa 2011, pamoja na Saul Perlmutter na Brian Schmidt, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Adam Riess
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adam Riess kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.