Saul Perlmutter
Saul Perlmutter (amezaliwa 22 Septemba, 1959) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza uenezi wa ulimwengu wa nyota. Mwaka wa 2011, pamoja na Brian Schmidt na Adam Riess, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saul Perlmutter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |