Adan Haji Ali ni mbunge wa Kenya. Alichaguliwa akiwa mgombea wa chama cha Jubilee party katika Jimbo la Mandera South, kaunti ya Mandera, kwenye mwaka 2017.

Adan alihitimu elimu ya sekondari kwenye mwaka 1989 pale Kabaa High School. Ali endela kuoma Masters in Business Administration kwenye chuo kiku cha Nairobi kwenye mwaka 2011. Aliwahi kufanya kazi katika makampuni binafsi hadi kuwa meneja wa Jimbo la Mandera South.

Marejeo hariri


Viungo vya Nje hariri