Adan Wehliye Keynan

Mwanasiasa wa Kenya- Mbunge wa eneo bunge la Eldas, kaunti ya Wajir

Adan Keynan Wehliye ni mwanasiasa nchini Kenya na mwanachama wa Chama cha Jubilee (JP). Mwaka 2013 alichaguliwa kama mbunge wa Taifa kwa kushinda eneo bunge la Eldas kwenye kaunti ya Wajir.[1]

Marejeo hariri

  1. http://www.parliament.go.ke/the-national-assembly/mps [Wabunge wa Taifa Kenya, tovuti la Bunge la Kenya, iliangaliwa Machi 4, 2022]