2013
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 20 |
Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990 |
Miaka ya 2000 |
Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
2009 |
2010 |
2011 |
2012 |
2013
| 2014
| 2015
| 2016
| 2017
| ►
| ►►
Jan.
| Feb.
| Mac.
| Apr.
| Mei
| Jun.
| Jul.
| Ago.
| Sep.
| Okt.
| Nov.
| Des.
Makala hii inahusu mwaka 2013 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
WaliofarikiEdit
- 14 Januari - Conrad Bain, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 7 Februari - Amedeus Msarikie, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania
- 28 Machi - Richard Griffiths, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 4 Aprili - Roger Ebert, mwandishi wa habari kutoka Marekani
- 10 Aprili - Robert G. Edwards, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2010
- 11 Aprili - Jonathan Winters, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Mei - Mangwair, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 19 Juni - James Gandolfini, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 12 Julai - Pran, mwigizaji wa filamu kutoka Uhindi
- 30 Agosti - Seamus Heaney, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1995
- 12 Septemba - Otto Sander, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 12 Oktoba - Oscar Hijuelos, mwandishi kutoka Marekani
- 20 Oktoba - Julius Nyaisangah, mtangazaji wa redio kutoka Tanzania
- 24 Oktoba - Raymond Mwanyika, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania
- 5 Desemba - Nelson Mandela, rais wa Afrika Kusini, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1993
- 14 Desemba - Peter O'Toole, mwigizaji wa filamu kutoka Eire
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: