Adana (kwa Kigiriki: Άδανα) ni mji wa Uturuki. Huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Adana.

Adana
Adana is located in Uturuki
Adana
Adana

Mahali pa mji wa Adana katika Uturuki

Majiranukta: 37°0′0″N 35°19.28′0″E / 37.00000°N 35.32133°E / 37.00000; 35.32133
Nchi Uturuki
Kanda Mediterranea
Mkoa Adana
Idadi ya wakazi (2007)[1]
 - Wakazi kwa ujumla 2,530,257, ambao wengine 1,566,027 wanaishi mijini
Mko wa Adana

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 1,130,710 waishio huko,[2] na kuufanya kuwa mmoja kati ya miji mitano mikubwa katika nchi ya Uturuki (baada ya Istanbul, Ankara, İzmir na Bursa). Mwaka wa 2006 mji wa Adana umekadiriwa kufikia iadadi ya wakazi wapatao 1,271,894.

Marejeo

hariri
  1. Türkiye istatistik kurumu Address-based population survey 2007. Retrieved on 2008-03-21.
  2. "GeoHive - Turkey - Administrative units". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-13. Iliwekwa mnamo 2008-10-04.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.