Ade Adekola
Ade Adekola (alizaliwa nchini Nigeria, 3 Machi 1966) ni msanii mwenye fani nyingi kama kupiha picha, mchoraji, msanii wa nguo, msanii wa digitali, na mwandishi. [1][2][3] Anaishi Lagos. [4]
Amezaliwa | 3 Machi 1966 Lagos |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mchoraji na Mpiga Picha |
Ade Adekola alihitimu Shahada ya Usanifu mwaka wa 1992 kutoka Shule ya Usanifu huko London, na kupata mafunzo katika Chuo Kikuu cha Manchester kabla. [5] [6]
Viungo vya nje
haririMarejeo
hariri- ↑ Dickson (2018-10-26). "Exhibition Detailing History of Lagos Bar Beach Opens Soon". Leadership News - Nigeria News, Breaking News, Politics and more (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
- ↑ Gonzalez, David (2014-10-27). "A Festival of Ideas and Photos in Africa". Lens Blog, The New York Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-10.
- ↑ Textilforum. Textilforum e.V. Arbeitsgemeinschaft f. Textil, Vereinregister. 1994. uk. 30.
- ↑ "Nse Ikpe-Etim, William Coupon and Nere Teriba in latest Visual Collaborative SDG publication". The Guardian Nigeria News (kwa American English). 2019-12-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-30. Iliwekwa mnamo 2023-02-10.
- ↑ Adebambo, Adebimpe (2017-01-11). "Stripes, Weaves, and Colours". Omenka Online (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-19. Iliwekwa mnamo 2023-02-10.
- ↑ O'Mahony, Marle; Braddock, Sarah (1994-09-01). Textiles and New Technology 2010 (kwa Kiingereza). Princeton Archit.Press. uk. 42. ISBN 978-3-7608-8434-9.