Adriano Vignoli (Sasso Marconi, 11 Desemba 190716 Juni 1996) alikuwa mwendeshabaiskeli mtaalamu wa barabarani kutoka Italia.

Mwaka 1934, Vignoli alishinda hatua moja katika Tour de France ya 1934 na katika Giro d'Italia ya 1934.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adriano Vignoli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.