Adryelson Shawann Lima Silva (alizaliwa 23 Machi 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazili, ambae anacheza kama beki wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adryelson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.