Aeliae au Æliæ ulikuwa mji wa enzi za warumi katika mkoa wa Byzacena.[1]. Aeliae ulikuwa ni mji muhimu baada ya kufanywa mji wa kiaskofu mapema baada ya baraza la Nicaea na ulikuwa ni dayosisi ya katoliki kipindi cha kale. Eneo halisi linasadikika kuwa ni yalipo magofu ya Henchir-Mraba,kusini-mashariki mwa Ouled Chamekh, katikati ya ziwa Sebkhet Cherita na Sebkhet de Sidi El Hani katika eneo la kati la mkoa wa Mahdia (Mahdia Governorate) huko Tunisia.

Africa Proconsularis

Marejeo

hariri
  1. Aeliae at www.gcatholic.org.