Africa: The Serengeti (Filamu)

Africa:serengeti ni filamu ya kubuni iliyotengenezwa na George casey.ilichukuliwa katika 70mm kutoka eneo la tukio ndani ya Hifadhi ya Serengeti ya iliyopo nchini Tanzania na eneo la masai mara nchini Kenya .filamu hii imeelezewa na James Earl Jones.ilizinduliwa na IMAX theaters mnamo 1994.

filamu hii inaonesha mandhari ya eneo la Serengeti yaliyopo ukanada wa Afrika mashariki.serengeti ni eneo kubwa lenye uoto wa nyasi za asili linalopatikana Tanzania.Serengeti hupatwa na majira ya ukame yayotokea maramoja kwa mwaka hali hii husababisha wanyama kuhamia upande wa kaskazini ili kujinusuru na ukame.mamilioni ya nyumbu ,pundamilia na swala husafiri maili kadhaa katika eneo la wazi ambapo Simba pamoja na wanyama wengine hatari huwasubir kwaajili ya kujipatia kitoweo,hii hujulikana kama moja katika ya maajabu makubwa ya dunia.[1]


Hans zimmer mtunzi wa filamu iitwayo the lion king , ambapo Jones ameipa sauti yake alichangia katika mdundo wa sauti katika filamu hii.

Marejeo

hariri
  1. Africa: The Serengeti (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2022-08-07
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Africa: The Serengeti (Filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.