Afrigo Band, ni bendi ya muziki nchini Uganda, ni kundi la muziki lililodumu kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uganda, lililokuwepo kwa miaka 44 ifikapo Agosti 2019.[1][2][3][4]

Afrigo Band
Nchi Uganda
Kazi yake Kundi la Muziki


Historia

hariri

Bendi hii iliundwa na kundi la wanamuziki wanane wakiongozwa na kiongozi wao wa bendi, mwimbaji, na mpiga saxophone wa alto, Moses Matovu,[5] ambaye aliendelea kuongoza bendi hiyo mpaka kwenye kumbukumbu ya bendi hiyo ya miaka 38[6]. Walicheza na mashabiki wao nyumbani nchini Uganda, kundi hili husafiri mara kwa mara huko Ulaya na Marekani kwenda kufanya maonyesho kwa Waganda katika ya Diaspora. Hii ndio orodha ya waanzilishi wa bendi hiyo.

  • Moses Matovu
  • Charles Ssekyanzi
  • Jeff Sewava
  • Paddy Nsubuga
  • Paulo Serumagga
  • Fred Luyombya
  • Anthony Kyeyune
  • Geoffrey Kizito

Marejeo

hariri
  1. "Celebrating Afrigo Band". New Vision (Kampala). 31 Agosti 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-02. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ssemutooke, Joseph (Oktoba 2012). "Afrigo: Uganda's Greatest Band". New Vision Mobile (Kampala). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Desemba 2014. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Hits That Made Them: Moses Matovu And Afrigo Band". Hipipo.com. 26 Agosti 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Desemba 2014. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2015. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Musinguzi, Bamuturaki (12 Septemba 2013). "Kampala's Most Resilient Band Afrigo Plays On". The EastAfrican (Nairobi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-16. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. https://www.monitor.co.ug/artsculture/Entertainment/Afrigo-Band-s-38-years-relived-in-one-night/-/812796/1977382/-/w47ahnz/-/index.html
  6. "Afrigo: Uganda's greatest band". web.archive.org. 2014-12-25. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-25. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afrigo Band kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.