AfroBasket 2013
AfroBasket 2013, ni mashindano yaliyo lenga kuwapata mabingwa watakao fuzu kwaajili ya ubingwa wa FIBA 2013https://en.wikipedia.org/wiki/2013_FIBA_Africa_Championship. Timu za mpira wa kikapu zilishindana na timu nyingine kutoka katika kanda husika kwaajili ya mashindano ya ubingwa.
Timu ziliz0fuzu
haririTimu iliyofuzu kama mwenyeji wa mashindano:
- Ivory Coast Cote d'Ivoire
Waliofuzu nne bora katika ubingwa wa 2013 FIBA:
- Angola
- Nigeria
- Tunisia
Waliofuzu kikanda:
- Algeria
- Burkina Faso
- Cameroon
- Cape Verde
- Central African Republic
- Congo
- Egypt
- Morocco
- Mozambique
- Senegal
Waliofuzu kuingia katika mashindano bila ya mchuano na timu pinzani:
- Mali
- Rwanda
Marejeo
haririhttps://en.wikipedia.org/wiki/AfroBasket_2013_qualification#cite_note-5 https://en.wikipedia.org/wiki/AfroBasket_2013_qualification#cite_note-6
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Jami:African Basketball Month</nowiki>