Agnez Mo
Agnes Monica Muljoto (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Agnez Mo; amezaliwa 1 Julai 1986) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop dansi kutoka nchini Indonesia.
Agnez Mo | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Agnes Monica Muljoto |
Amezaliwa | 1 Julai 1986 |
Asili yake | Jakarta, Indonesia |
Aina ya muziki | Pop |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki |
Ala | Sauti |
Aina ya sauti | Contralto |
Miaka ya kazi | 1992–hadi leo |
Studio | Aquarius Musikindo, Sony Music |
Tovuti | www.agnezmo.com |
Albamu
hariri- Agnes Is My Name (2011)
- Agnez Mo (2013)
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: