Ahmed Ammi (Kiarabu: أحمد عمي‎; alizaliwa 19 Januari 1981) ni mchezaji wa soka wa Kimoroko-Kiholanzi anayecheza kama beki wa kulia. Kwa sasa anacheza katika klabu ya Kiholanzi ya SC Irene ambayo ni ya kiwango cha wachezaji wasio wa kulipwa.

Ahmed Ammi

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Ammi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.