19 Januari

tarehe
Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 19 Januari ni siku ya kumi na tisa ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 346 (347 katika miaka mirefu).

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Jermaniko wa Filadelfia, Ponsyano wa Spoleto, Mario, Martha, Audifas na Abako, Makari mkuu, Makari wa Aleksandria, Basiano wa Lodi, Liberata na Faustina, Launomaro, Yohane wa Ravenna, Remi wa Rouen, Arseni wa Korfu n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 19 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.