Ahmed el-Aash (amezaliwa Januari 1, 1998) ni mchezaji wa soka wa Misri. Anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Ligi Kuu ya Misri, Ismaily na timu ya taifa ya chini ya umri wa miaka ishirini ( U-20) ya Misri.[1]

Kazi hariri

Ahmed el-Aash alianza maisha yake ya soka mwaka 2007 katika timu ya vijana ya Al Ahly kama beki wa kati,

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed El Aash kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.