Aida Joseph Khenani

mwanasiasa kutoka Tanzania

Aida Joseph Khenani (amezaliwa tarehe 20 Januari 1990) [1] ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [2]

Marejeo hariri

  1. https://www.parliament.go.tz/index.php/administrations/188
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017