Aigalefili Fepulea'i Tapua'i

Mwanaharakati wa asili na hali ya hewa

Aigalefili Fepulea'i Tapua'i (alizaliwa mnamo mwaka 2001) [1] ni mshairi, mwanaharakati wa mabadiliko ya hali ya hewa na mzalendo kutoka nchi ya Samoa na New Zealand. Aigalefili ni binti wa mbunge wa zamani wa Samoa Seminare Fepulea'i.

Marejeo hariri

  1. Michelle Langstone (12 September 2020). "Angry, eloquent and 17, Fili has something to say to you". The Spinoff. Iliwekwa mnamo 11 August 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aigalefili Fepulea'i Tapua'i kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.