Ajali ya meli ya Cais do Sodré

Ajali ya meli ya Cais do Sodr ilitokea huko Lisbon, Ureno, ikigundulika mnamo Aprili 1995, wakati wa uchimbaji wa kituo cha treni ya chini ya ardhi.

Mabaki yalipatikana kwa kina cha takriban mita 6.5, na kipimo cha Kaboni 14 kilionyesha yalikuwa ya mwaka 1500 hivi.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Rodrigues, P. J. (2002). Étude de la charpente transversale du navire de Cais do Sodré de la 2ème moitié du XVe siècle/début du XVIe. Université de Paris I—Sorbonne: Masters Dissertation.
  2. Castro, F.; na wenz. (2011). "The Cais do Sodré Shipwreck, Lisbon, Portugal". International Journal of Nautical Archaeology. 40 (2): 328–343. doi:10.1111/j.1095-9270.2011.00313.x. S2CID 161202495.