1995
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1991 |
1992 |
1993 |
1994 |
1995
| 1996
| 1997
| 1998
| 1999
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1995 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2021 MMXXI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5781 – 5782 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2774 |
Kalenda ya Ethiopia | 2013 – 2014 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1470 ԹՎ ՌՆՀ |
Kalenda ya Kiislamu | 1443 – 1444 |
Kalenda ya Kiajemi | 1399 – 1400 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2076 – 2077 |
- Shaka Samvat | 1943 – 1944 |
- Kali Yuga | 5122 – 5123 |
Kalenda ya Kichina | 4717 – 4718 庚子 – 辛丑 |
- 5 Desemba - Anthony Martial, mchezaji wa mpira kutoka Ufaransa
- 14 Desemba - Herieth Paul, mwanamitindo kutoka Tanzania
WaliofarikiEdit
- 1 Januari - Eugene Wigner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
- 18 Januari - Adolf Butenandt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1939
- 2 Februari - Donald Pleasence, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 6 Februari - James Merrill, mshairi kutoka Marekani
- 1 Machi - Georges Köhler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984
- 8 Machi – Paul Horgan, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1955
- 14 Machi - William Fowler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983
- 16 Machi - Albert Hackett, mwandishi kutoka Marekani
- 20 Machi - Sidney Kingsley, mwandishi kutoka Marekani
- 23 Machi - Marijani Rajab, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 26 Machi - Eazy-E, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2 Aprili - Hannes Alfven, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970
- 14 Mei - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 25 Juni - Ernest Walton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1951
- 21 Agosti - Subrahmanyan Chandrasekhar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983
- 16 Novemba - Charles Gordone, mwandishi kutoka Marekani
- 6 Desemba – James Reston, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1945
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: