Akira Kurosawa

Akira Kurosawa.

Akira Kurosawa (23 Machi 19106 Septemba 1998) alikuwa mwongozaji wa filamu wa Kijapani. Filamu nyingi za Kurosawa zilikuwa maarufu sana katika Ujapani. Na zilikuwa zikipendwa na watu wengi tu duniani.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akira Kurosawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.