Akita, Akita
Akita (秋田市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Akita. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 335,000 wanaoishi katika mji huu.
Akita | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Tōhoku | ||
Mkoa | Akita | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 335,455 | ||
Tovuti: www.city.akita.akita.jp |
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Akita, Akita kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |