Akuapim-Mampong

Mji uliopo mashariki mwa Ghana

Akuapim-Mampong ni mji ulioko wilaya ya Akuapim kaskazini mkoa wa mashariki mwa Ghana[1]. Imepakana na Mamfe.

Ni mji maarufu kwa kuanza kulima kakao Ghana kwa mujibu wa Tetteh Quarshie.

Marejeo

hariri
  1. "ghana-keyterm2". web.csulb.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-09. Iliwekwa mnamo 2021-07-05. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Akuapim-Mampong kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.