Albert Fert
Albert Fert (amezaliwa 7 Machi, 1938) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa amechunguza usumaku. Mwaka wa 2007, pamoja na Peter Grünberg, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Albert Fert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |