7 Machi

tarehe
Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 7 Machi ni siku ya 66 ya mwaka (ya 67 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 299.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Perpetua na Felisita, Saturus, Saturninus, Revokatus, Sekondinus, Eubuli wa Kaisarea, Eujeni, Agatodori na wenzao, Paulo Mnyofu, Gaudiosi wa Brescia, Paulo wa Prusa, Teresia Margerita Redi, Yohane Mbatizaji Nam Chong-sam, Simeoni Berneux na wenzake n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 7 Machi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.