Alexei Abrikosov

(Elekezwa kutoka Alexei Abrikossow)

Alexei Alexeyevish Abrikosov (amezaliwa 25 Juni, 1928) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza usumaku. Mwaka wa 2003, pamoja na Vitali Ginzburg na Anthony Leggett, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Alexei Abrikosov
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexei Abrikosov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.