25 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Juni ni siku ya 176 ya mwaka (ya 177 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 189.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1852 - Antoni Gaudi, msanifu majengo wa Hispania
- 1864 - Walther Nernst, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920
- 1907 - Johannes Hans Daniel Jensen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
- 1911 - William Stein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 1913 - Aime Cesaire, mwandishi kutoka Martinique
Waliofariki
hariri- 1995 - Ernest Walton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1951
- 2009
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimo wa Torino, Prospa wa Akwitania, Prospa wa Reggio, Tigre, Moluag, Eurosia wa Jaca, Adalberto wa Egmond, Solomoni wa Bretagne, Wiliamu wa Vercelli, Dominiko Henares, Fransisko Do Minh Chieu n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |