Alfabeti ya Kimongoli

Alfabeti ya Kimongoli ni aina ya mwandiko unaotumiwa kuandika lugha chache nchini Uchina na Mongolia kama vile Kimongoli, Kimanchu au Kievenki. Ni alfabeti kweli kwa sababu hutumia herufi tofauti kwa irabu na konsonanti.

Mfano wa makala katika mwandiko wa Kimongoli

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfabeti ya Kimongoli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.