Alojzij Cvikl
Askofu Mkuu Alojzij Cvikl, S.J. (alizaliwa 19 Juni 1955) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Slovenia ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Maribor tangu tarehe 14 Machi 2015.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Mariborski nadškof metropolit msgr. Alojzij Cvikl DJ". Official Website of the Episcopal Conference of Slovenia (kwa Slovenian). Iliwekwa mnamo 11 Juni 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |