1955
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| ►
◄◄ |
◄ |
1951 |
1952 |
1953 |
1954 |
1955
| 1956
| 1957
| 1958
| 1959
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1955 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2021 MMXXI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5781 – 5782 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2774 |
Kalenda ya Ethiopia | 2013 – 2014 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1470 ԹՎ ՌՆՀ |
Kalenda ya Kiislamu | 1443 – 1444 |
Kalenda ya Kiajemi | 1399 – 1400 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2076 – 2077 |
- Shaka Samvat | 1943 – 1944 |
- Kali Yuga | 5122 – 5123 |
Kalenda ya Kichina | 4717 – 4718 庚子 – 辛丑 |
- 13 Februari - Castor Paul Msemwa, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 24 Februari - Steve Jobs, mvumbuzi na mfanyabiashara kutoka Marekani
- 3 Machi - Marijani Rajab, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 12 Machi - Gaspard Musabyimana, mwandishi wa Rwanda
- 19 Machi - Bruce Willis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 13 Aprili - Ronald Muwenda Mutebi II, mfalme wa Buganda
- 17 Aprili - Kristine Sutherland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Aprili - Damian Dalu, askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Songea, Tanzania
- 9 Mei - Meles Zenawi, Waziri Mkuu wa Ethiopia
- 18 Mei - Chow Yun Fat, mwigizaji filamu kutoka Uchina
- 27 Mei - Richard Schiff, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 30 Mei - Brian Kobilka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2012
- 31 Mei - Susie Essman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1 Juni - Chiyonofuji Mitsugu, mwanamweleka wa Japani
- 17 Julai - Aggrey Deaisile Joshua Mwanri, mwanasiasa wa Tanzania
- 20 Julai - Egidio Miragoli, askofu Mkatoliki nchini Italia
- 14 Septemba - Geraldine Brooks, mwandishi kutoka nchi za Australia na Marekani
- 10 Desemba - Harrison George Mwakyembe, mwanasiasa wa Tanzania
- 12 Desemba - Alfred Leonhard Maluma, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 22 Desemba - Thomas Südhof, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2013
bila tarehe
- Mzee Small, mwigizaji kutoka Tanzania
WaliofarikiEdit
- 20 Januari - Robert P. T. Coffin, mshairi kutoka Marekani
- 31 Januari - John Mott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946
- 3 Machi - Mtakatifu Katharine Drexel, mtawa wa kike kutoka Marekani
- 11 Machi - Alexander Fleming, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945
- 12 Machi - Charlie Parker, mwanamuziki kutoka Marekani
- 18 Aprili - Albert Einstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1921
- 16 Mei - James Agee, mwandishi kutoka Marekani
- 23 Julai - Cordell Hull, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1945
- 2 Agosti - Wallace Stevens, mshairi kutoka Marekani
- 12 Agosti - Thomas Mann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1929)
- 12 Agosti - James Sumner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946
- 13 Novemba – Bernard DeVoto, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948
- 14 Novemba - Robert Sherwood, mwandishi Mmarekani
- 13 Desemba - Antonio Egas Moniz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: