Aloyce Bent Kimaro

Aloyce Bent Kimaro (amezaliwa tar. 24 Juni 1953) ni mbunge wa jimbo la Vunjo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Aloyce Bent Kimaro". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.