Alpes-de-Haute-Provence
département ya Ufaransa
Alpes-de-Haute-Provence ni département (Kifaransa) au department (Kiingereza) la Provence-Alpes-Côte d'Azur ya Ufaransa. Mji mkuu wake ni Digne-les-Bains.

Mahali pa Alpes-de-Haute-Provence katika Ufaransa
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Alpes-de-Haute-Provence kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |