Provence-Alpes-Côte d'Azur
Provence-Alpes-Côte d'Azur (kwa Kioksitania: Provença-Aups-Còsta d'Azur) ni mkoa uliopo kusini mwa Ufaransa.

Provence-Alpes-Côte d'Azur

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Ufaransa Ufaransa
Mji mkuu Marseille
Eneo
 - Jumla 31,400 km²
Tovuti:  http://www.regionpaca.fr/
Menton, Côte d'Azur, Ufaransa.
Ramani ya Provence-Alpes-Côte d'Azur.

Mji mkuu wake ni Marseille.

Wilaya hariri

  1. Alpes-de-Haute-Provence (04)
  2. Hautes-Alpes (05)
  3. Alpes-Maritimes (06)
  4. Bouches-du-Rhône (13)
  5. Var (83)
  6. Vaucluse (84)

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Provence-Alpes-Côte d'Azur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.