Amabilis Batamula

mwandishi wa habari na mpiga picha

Amabilis Batamula ni Naibu Mkurugenzi [1] wa shirika lisilo la kiserikali linaloshughulika na masuala ya vijana lijulikanalo kama Femina Hip.

Amabilis Batamula
UtaifaMtanzania
Kazi yakeNaibu Mkurugenzi, Femina Hip
Miaka ya kazi18

Kazi hariri

Amabilis ni mwandishi wa habari na mpiga picha ambaye amebobea katika elimu burudishi (Entertainment Education) na mawasiliano ya kimkakati yanayolenga kuleta mabadiliko ya tabia (SBCC)

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  1. Femina Hip Fema Team. www.feminahip.or.tz. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-04-07. Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amabilis Batamula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.