Amason Kingi

Mwanasiasa wa Kenya-Spika wa Seneti ya Kenya

Amason Kingi Jeffah (alizaliwa 1973 [1]) ni mwanasiasa wa Kenya ambaye kwa sasa anahudumu kama spika wa seneti ya Kenya.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Members Of The 10th Parliament Archived 16 Juni 2008 at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed 19 June 2008. He was elected as the Speaker of the Senate on 8th September 2022 after garnering 46 votes in an election that was boycotted by Azimio la Umoja Senators
  2. "Mung'aro beats Aisha Jumwa in Kilifi governor race". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-23.