Amber Galloway
Mkalimani wa lugha ya ishara ya Marekani
'
Amber Galloway | |
---|---|
Shahada ya Uzamili katika ukalimani wa ASL/Kiingereza | |
Amezaliwa | 1977 |
Kazi yake | Mtafsiri lugha |
Amber Galloway [1]alizaliwa tarehe 12 Machi 1977)[2] ni mtafsiri wa lugha ya ishara ambaye anajulikana kwa tahaluma katika kutafsiri matukio ya muziki na mashindano ya muziki, hasa rap/hip-hop, kwa lugha ya ishara ya Marekani (ASL). Amekubalika kama mtafsiri wa lugha ya ishara anayejulikana zaidi nchini Marekani.
Marejeo
hariri- ↑ Anton, Jessie. "From mathmobiles to TikTok, Sask. teachers get creative with distance learning", CBC, May 19, 2020.
- ↑ Ward, Alyson. "Sign language interpreter helps deaf audiences enjoy music, dirty lyrics and all", 2014-05-05. "Amber Galloway Gallego, 37, is a sign language instructor at HCC"
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amber Galloway kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |