1977
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| ►
◄◄ |
◄ |
1973 |
1974 |
1975 |
1976 |
1977
| 1978
| 1979
| 1980
| 1981
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1977 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 5 Februari - Kuundwa kwa Chama cha Mapinduzi, chama tawala cha Tanzania
- 27 Juni - Nchi ya Jibuti inapata uhuru kutoka Ufaransa.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 22 Januari - Hidetoshi Nakata, mchezaji wa mpira kutoka Japani
- 20 Februari - Zoltán Trepák, mchezaji wa mpira kutoka Hungaria
- 16 Aprili - Alek Wek, mrembo kutoka Sudan
- 23 Aprili - John Cena, mwanamweleka, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1 Juni - Sarah Wayne Callies, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 8 Juni - Kanye West, mwanamuziki kutoka Marekani
- 24 Juni - Amir Talai, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 11 Julai - Edward Moss, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 13 Julai - Ashley Scott, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 13 Julai - Kari Wahlgren, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 17 Oktoba - Andre Villas Boas, kocha wa mpira wa miguu kutoka Ureno
- 10 Novemba - Brittany Murphy, mwigizaji na mwimbaji kutoka Marekani
- 18 Novemba - Fabolous, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 5 Mei - Ludwig Erhard, Chansela wa Ujerumani (1963-1966)
- 3 Juni - Archibald Vivian Hill, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1922
- 2 Julai - Vladimir Nabokov, mwandishi wa Urusi na wa Marekani
- 4 Agosti - Edgar Adrian, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932
- 16 Agosti - Elvis Presley, mwimbaji kutoka Marekani
- 12 Septemba - Steve Biko, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini (aliuawa na mapolisi)
- 12 Septemba- Robert Lowell, mshairi kutoka Marekani
- 11 Oktoba - MacKinlay Kantor, mwandishi kutoka Marekani
- 25 Desemba - Charlie Chaplin, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: