Amèle El Mahdi , alizaliwa mnamo mwaka 1956 huko Blida, ni profesa wa hesabu na mwandishi kutoka nchini Algeria. Aliishi katika miji mingi kusini mwa Algeria, ambapo aliongoza maandishi yake mengi. Ameandika kwa gazeti la Algeria El Watan"[1][2]

Emele El Mahdi
Amezaliwa 1956
Blida
Kazi yake profesa wa hesabu na mwandishi

Kazi za fasihi hariri

  • The Beauty and the Poet, Algiers, Matoleo ya Casbah, 2012, 187 p.
  • Yamsel, son of the Ahaggar, Algiers, , Matoleo ya Casbah, 2014, 275 p.
  • Tin Hinan, My Queen, Algiers,, Matoleo ya Casbah , 2014, 141 p.
  • Grandma's Beautiful Stories, Algiers,, Matoleo ya Casbah , 2015
  • Under the flag of Raïs, Algiers, Matoleo ya Casbah, 2016
  • An African odyssey. The tragedy of illegal migration, Algiers, Casbah Editions, 2018, 172 p.
  • Ameandika Kitabu cha pamoja kilichoitwa "Hiziya My Love" na akishirikiana na waandishi wa riwaya na washairi 14 ambayo ni Amar Achour, Nassira Belloula, Maïssa Bey, Aicha Bouabaci, Slimane Djouadi, Saléha Imekraz, Abdelmadjid Kaouah, Azzedine Menasra, Miloud Khaizar, Fouzia Laradi, Amèle El Mahdi, Arezki Metref, Lazhari Labter, Smail Yabrir, Matoleo ya Hibr.
  • "Oasis: picha na maoni"; ambayo ni kazi ya pamoja inayoungwa mkono na mpango wa uchapishaji wa Taasisi ya Ufaransa iliyopo Algeria. Matoleo ya Chihab, 2018

Marejeo hariri

  1. "Amele El Mahdi – Casbah Editions". Casbah Editions. Casbah Editions. Iliwekwa mnamo 28 September 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Biographie Amele El Mahdi". Vitamine DZ. Iliwekwa mnamo 28 September 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amele El Mahdi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.