1956
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| ►
◄◄ |
◄ |
1952 |
1953 |
1954 |
1955 |
1956
| 1957
| 1958
| 1959
| 1960
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1956 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2021 MMXXI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5781 – 5782 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2774 |
Kalenda ya Ethiopia | 2013 – 2014 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1470 ԹՎ ՌՆՀ |
Kalenda ya Kiislamu | 1443 – 1444 |
Kalenda ya Kiajemi | 1399 – 1400 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2076 – 2077 |
- Shaka Samvat | 1943 – 1944 |
- Kali Yuga | 5122 – 5123 |
Kalenda ya Kichina | 4717 – 4718 庚子 – 辛丑 |
- 3 Januari - Mel Gibson, mwigizaji wa filamu kutoka Australia
- 6 Januari - Elizabeth Strout, mwandishi kutoka Marekani
- 31 Januari - John Lydon, mwanamuziki kutoka Uingereza
- 9 Februari - Chenjerai Hove, mwandishi kutoka Zimbabwe
- 19 Februari - Roderick MacKinnon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2003
- 28 Februari - Lloyd Sherr, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 22 Aprili - Monica Ngenzi Mbega, mwanasiasa wa Tanzania
- 5 Mei - Jay Rosen, mwandishi Mmarekani
- 17 Mei - Annise Parker, mwanasiasa wa Marekani
- 25 Mei - Rajab Hamad Juma, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 3 Juni - Severine Niwemugizi, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 12 Julai - Wilson Mutagaywa Masilingi, mwanasiasa wa Tanzania
- 15 Julai - Chacha Zakayo Wangwe, mwanasiasa wa Tanzania
- 17 Julai - Michael George Mabuga Msonganzila, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 13 Agosti - Koffi Olomide, mwimbaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 15 Agosti - Daniel Nicodemus Nsanzugwako, mwanasiasa wa Tanzania
- 17 Oktoba - Mae Jemison, mwanaanga kutoka Marekani
- 10 Novemba - Sinbad, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 24 Novemba - Terry Lewis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 19 Desemba - Jens Fink-Jensen, mwandishi Mdenmark
WaliofarikiEdit
- 10 Februari - Leonora Speyer, mshairi wa kike kutoka Marekani
- 18 Machi - Louis Bromfield, mwandishi kutoka Marekani
- 30 Aprili - Alben Barkley, Kaimu Rais wa Marekani
- 22 Septemba - Frederick Soddy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1921
- 14 Oktoba - Owen Davis, mwandishi kutoka Marekani
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: