American Pie (mfululizo)

mfululizo wa filamu za vijana

American Pie ni mfululizo wa filamu za vijana ambayo imetungwa na Adam Herz. Filamu ya kwanza katika mfululizo huu ilitolewa tarehe 9 Julai, 1999, kupitia studio za Universal Pictures, na ikawa mfano wa kuigwa duniani kote, na mara moja ikapelekea matoleo yake mengine mawili, ambayo yaliyotolewa ndani ya miaka miwili. Kuanzia 2005 hadi 2009, matoleo mengine yasiyo rasmi (ila tu yametokana na kuvutiwa na mfululizo halisi) yalitolewa. Mwaka wa 2012, mfululizo halisi wa nne ulitoka na toleo la tano limetangazwa pia.

American Pie Series

Boxi la seti nzima ya mfululizo
Imeongozwa na Tazama chini
Imetayarishwa na Tazama chini
Imetungwa na Tazama chini
Imesambazwa na Universal Pictures
Imetolewa tar. 1999–hadi sasa
Ina muda wa dk. dakika 786
Nchi Marekani
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu Milioni 145 za Kimarekani
Mapato yote ya filamu Milioni 989,222,700 za Kimarekani

Katika mfululizo halisi wa kwanza wa filamu hii, Jim Levenstein (Jason Biggs) anajaribu kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi mwenzake aliyeitwa Nadia (Shannon Elizabeth), na akiwa na marafi zake wa karibu ambao ni Kevin Myers (Thomas Ian Nicholas), Paul Finch (Eddie Kaye Thomas), na Chris Ostreicher (Chris Klein), wanajaribu kupoteza bikra zao.

Katika filamu ya pili, akiwa na marafiki wazuri, na mgovi mkubwa wa Finch Steve Stifler (Seann William Scott), marafiki hawa wameandaa kujirusha wakati wa majira ya joto na Jim anabadili mahaba yake na kuyahamishia kwa Michelle Flaherty (Alyson Hannigan). Katika filamu ya tatu, Jim na Michelle wanapanga kuoana, lakini mwaliko wa mabavu wa Stifler umeharibu kila kitu.

Katika filamu ya nne, wahuni wanaungana tena katika hali kushiriki katika kuungana tena na wanafunzi waliomaliza shule pamoja miaka kumi na tatu iliyopita. Mifululizo iliyotokana na filamu halisi inahusisha ndugu wa Stifler, akiwa pamoja na ndugu yake Matt (Tad Hilgenbrink) na binamu yake Erik (John White), Dwight (Steve Talley), Scott (John Patrick Jordan), na marafiki wengine waliokuwa wanajaribu kufanya matendo yaleyale ya mfululizo halisi.

Mfululizo halisi, umetayarishwa kwa jumla ya bajeti ya kiasi cha Dola ya Marekani milioni 145, na kuingiza pato kiasi cha Dola ya Marekani milioni 988 kwa hesabu ya dunia nzima.

Filamu halisi

hariri
Filamu Mwongozaji Mtunzi (wa) Mtayarishaji (wa)
American Pie (1999) Chris & Paul Weitz Adam Herz Chris Moore, Craig Perry, Chris Weitz na Warren Zide
American Pie 2 (2001) J. B. Rogers Chris Bender, Adam Herz, Chris Moore, Craig Perry, Chris Weitz & Paul Weitz & Warren Zide
American Wedding (2003) Jesse Dylan
American Reunion (2012) Jon Hurwitz & Hayden Schlossberg Chris Moore, Craig Perry & Warren Zide

Muhtasari

hariri

Katika mfululizo halisi wa kwanza wa filamu hii, Jim Levenstein (Jason Biggs) anajaribu kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi mwenzake aliyeitwa Nadia (Shannon Elizabeth), na akiwa na marafi zake wa karibu ambao ni Kevin Myers (Thomas Ian Nicholas), Paul Finch (Eddie Kaye Thomas), na Chris Ostreicher (Chris Klein), wanajaribu kupoteza bikra zao.

Katika filamu ya pili, akiwa na marafiki wazuri, na mgovi mkubwa wa Finch Steve Stifler (Seann William Scott), marafiki hawa wameandaa kujirusha wakati wa majira ya joto na Jim anabadili mahaba yake na kuyahamishia kwa Michelle Flaherty (Alyson Hannigan). Katika filamu ya tatu, Jim na Michelle wanapanga kuoana, lakini mwaliko wa mabavu wa Stifler umeharibu kila kitu.

Katika filamu ya nne, wahuni wanaungana tena katika hali kushiriki katika kuungana tena na wanafunzi waliomaliza shule pamoja miaka kumi na tatu iliyopita. Mifululizo iliyotokana na filamu halisi inahusisha ndugu wa Stifler, akiwa pamoja na ndugu yake Matt (Tad Hilgenbrink) na binamu yake Erik (John White), Dwight (Steve Talley), Scott (John Patrick Jordan), na marafiki wengine waliokuwa wanajaribu kufanya matendo yaleyale ya mfululizo halisi.

Matoleo yasiyo rasmi

hariri
Filamu Mwongozaji Mtunzi (wa) Mtayarishaji (wa)
American Pie Presents: Band Camp (2005) Steve Rash Brad Riddell Mike Elliott
American Pie Presents: The Naked Mile (2006) Joe Nussbaum Eric Lindsay W. K. Border
American Pie Presents: Beta House (2007) Andrew Waller
American Pie Presents: The Book of Love (2009) John Putch David H. Steinberg Mike Elliot, Craig Perry & Warren Zide

Muhtasari

hariri

Washiriki

hariri
Mhusika Filamu
American Pie
(1999)
American Pie 2
(2001)
American Wedding
(2003)
American Pie Presents: Band Camp
(2005)
American Pie Presents: The Naked Mile
(2006)
American Pie Presents: Beta House
(2007)
American Pie Presents: The Book of Love
(2009)
American Reunion
(2012)
Noah Levenstein Eugene Levy
James "Jim" Levenstein Jason Biggs Jason Biggs
Michelle Levenstein (née Flaherty) Alyson Hannigan Alyson Hannigan
Steve Stifler Seann William Scott Seann William Scott
Kevin Myers Thomas Ian Nicholas Thomas Ian Nicholas
Paul Finch Eddie Kaye Thomas Eddie Kaye Thomas
Chris "Oz" Ostreicher Chris Klein Chris Klein
Heather Mena Suvari Mena Suvari
Victoria "Vicky" Lathum Tara Reid Tara Reid
Jessica Natasha Lyonne Natasha Lyonne (cameo)
Nadia Shannon Elizabeth Shannon Elizabeth (cameo)
Chuck Sherman Chris Owen Chris Owen Chris Owen (cameo)
Mrs. Levenstein Molly Cheek Molly Cheek (cameo)
Cadence Flaherty January Jones
Harold Flaherty Fred Willard
Jeanine Stifler Jennifer Coolidge Jennifer Coolidge
John (aka MILF Guy #2) John Cho John Cho
Justin (aka MILF Guy #1) Justin Isfield Justin Isfield (cameo)
Selena Dania Ramirez
Mia Katrina Bowden
Kara Ali Cobrin
AJ Chuck Hittinger
Ron Jay Harrington
Matt Stifler Eli Marienthal Tad Hilgenbrink
Elyse Houston Arielle Kebbel
Chloe Crystle Lightning
James "Jimmy" Chong Jun Hee Lee
Ernie Kaplowitz Jason Earles
Erik Stifler John White
Dwight Stifler Steve Talley
Harry Stifler Christopher McDonald
Tracy Sterling Jessy Schram
Rob Shearson Bug Hall
Scott Stifler John Patrick Jordan
Nathan Jenkyll Kevin M. Horton
Marshall "Lube" Lubetsky Brandon Hardesty
Heidi Beth Behrs
Ashley Jennifer Holland
Madeline Shearson Rosanna Arquette

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: